Tamama
JF-Expert Member
- Mar 15, 2016
- 887
- 1,106
Wewe mwanamke unagundua mumeo ana mchepuko badala ya kudeal na mumeo unaleta fujo kwa huo mchepuko hivi unajua mumeo alimsumbua huyo dada wa watu kiasi gani ili tu amkubalie kwanza wengine hata wanasema wametengana na wake zao na wanakaa na michepuko mpaka usiku wa manane au hata asubuhi
Au unafikiri mumeo ndio mzuri sana anatongozwa na kila mdada, kwanza usikute toka mko wachumba unajua tabia za mmeo kuwa kicheche ulivyolazimisha ndoa ulifkiri ndio atatulia
Kwanza asilimia kubwa ya wake wanaogundua michepuko ya waume zao ni viherehere vyao kumchunguza mume mnoo au mwanaume kukuchoka kwa kero zako mpaka heshima inaondoka
Hivi mnafikiri mababu zetu zaman hawakuwa na michepuko mpaka nyie ndio mjidai kutaka kupendwa peke yenu ovyoo
kama unampenda sana si uwe bodyguard wake basi