Revola
JF-Expert Member
- Apr 14, 2015
- 1,484
- 1,277
Wana MMU habari ya wakati huu,
Najua mko poa sana.
Nawaletea kwenu story ya kweli kabisa inayomuhusu msichana mmoja anayeitwa Victoria mwenye umri wa miaka 30 sasa, huyu binti alikuwa anaishi maeneo ya Tangi bovu jijini Dar es Salaam na ndoto yake kubwa ilikuwa siku moja kuolewa na mzungu, hivyo kwake yeye hakujali atakuwa mzungu wa aina gani, lakini alipenda sana kuja kuolewa na mzungu awe mzee, au wa makamo yeye hakujali hilo.
Kilichomfanya dada yetu Victoria kutafuta wazungu ni kwa sababu alipenda sana kuangalia tamthiliya za kizungu zilizokuwa zinaonyeshwa ITV, Channel Ten, au TBC kila baada ya taarifa ya habari, hivyo ilipelekea kupenda sana maisha hayo ya kizungu hadi kufikia uwamuzi huo wa kupenda wazungu.
Siku moja huyu dada akiwa kwake gheto alipigiwa simu na rafiki yake aliyeitwa Kelvin, huyu Kelvin ni mmoja wa marafiki wa Victoria, aliyepewa kazi ya kumtafutia wazungu ili amconect nao.
So siku moja Kelvin alimpigia simu Victoria na kumweleza amekutana na mzungu akampatia maelezo kuhusu yeye, na mzungu alimweleza kuwa nae yupo single hivyo nae alikuwa katika utafutaji wa msichana ili waje wawe pamoja. Baada ya Vicky kuambiwa hivyo alifurahi sana kupata ujumbe wa kukutana na mzungu wa ndoto yake.
Ikumbukwe Vicky aliishi ghetto maeneo ya Tangi bovu, kiukweli huyu dada alivyokuwa akisimulia alisema usiku huo hakupata usingizi kabisa kwa aliwaza ni namna gani huyo mzungu atakuwa, na je atamkubali?
Vicky aliamka asubuhi sana mida ya saa 11 asubuhi ili akakutane na huyo mzungu alijiandaa asubuhi na mapema na alijipodoa vya kutosha kiukweli alipendeza sanaa huyu dada aliondoka akapanda daladala hadi maeneo ya Posta mpya alifika kama kwenye saa moja hivi na kumpigia simu Kelvin na kumweleza kuwa amekwishafika Posta.
Swala la kuwahi kufika lilimshangaza sana Kelvin na ilibidi amuulize Vicky mbona umewahi kufika wakati tulikubaliana saa nne? Vicky alisema nimewahi ili niende na muda mzungu wangu asinione mzinguaji.
Basi Kelvin alimchukua na kumpeleka hadi sehemu ya tukio ambapo ndipo eneo walikubaliana na huyo mzungu aitwae Devid. Nini kiliendelea?
Ndugu zangu wana MMU story hii ni ya kweli kabisa wala siyo ya kutunga ukihitaji kuifuatilia kutoka kwa huyu dada Victoria ingia you tube andika kichwa cha habari cha uzi huu utaipata ametoa kwa part, kuna part 1 hadi 5 na bado anaendelea kuitoa kila baada ya wiki.