Mwanaume utajuaje kuwa mwanamke yupo tayari kuanzisha mahusiano?

pistmshai

JF-Expert Member
Dec 12, 2016
1,313
3,683
Let's say kuna mwanaume ana rafiki wa kike. Anamnpeda na anampa sana attention, na yupo willing kumsikiliza na kumsaidia shida zake kwa kadri ya uwezo wake kwa wakati.

Lakini atajuaje kuwa huyu mwanamke ameanza kuwa interested naye kimahusiano? Maana akienda kichwa-kichwa anaweza kupoteza kabisa hata huo urafiki.
 
mkuu, huwa wanapenda sana kuamkia utaskia "shikamoo kaka" hata kama hajui nan mkubwa kati yenuu

√√ hupenda kuomba kitu ambacho pia naye anachoo, kwao kuna umeme anakuja kuchaji kwako
 
Ukikaa karibu au ukiongea na mwanamke mwingine utaona anabadilika kama vile amechanganyikiwa kwa muda mfupi
 
Mkuu kwanza umkimtaka mwanamke kimahusiano mambo ya urafiki ya nini ?kama unamfahamu vizuri na yeye anakufahamu wewe mwaga sera ,mambo ya kutaka muwe marafiki mwisho wa siku ndio mnakuja kuambiwa tuwe marafiki au anakuja mwenzako anakupiga kanzu huku unajiona.
Nb.Mambo haya hayana kanuni, unavyoweza kufanya kwa mwanamke A kwa B inaweza isifanye kazi.
 
Let's say kuna mwanaume ana rafiki wa kike. Anampeda na anampa sana attention, na yupo willing kumsikiliza na kumsaidia shida zake kwa kadri ya uwezo wake kwa wakati.
Lakini atajuaje kuwa huyu mwanamke ameanza kuwa interested nae kimahusiano?
Maana akienda kichwa-kichwa anaweza kupoteza kabisa hata huo urafiki.
atakua na heshima sanaaa iliyo pitiliza na ataanza kuzungumzia future na wewe
 
Back
Top Bottom