cosa nostra
JF-Expert Member
- Sep 17, 2010
- 1,773
- 1,805
Kuna jamaa angu bana anapata shida sana,
Amepanga chumba kimoja mitaa ya temeke yeye mkewe na mtoto,sasa mtoto wake ni wa kiume na amekua ana miaka 3 sasa na amesha pata uelewa na issue za kukubwa ,
Juzi amewauliza wazazi wake eti baba mbona mnapigana mama usiku,na mama yake alikuwepo hapo hapo,Mshaji akakosa jibu kabisa
Mshaji amechanganyikiwa afanyeje na hana pesa ya kulipa vyumba viwili kwa haraka