genious wa kijiji
Senior Member
- May 1, 2014
- 173
- 249
Nawasalimu wanajamii,
Nina miaka zaidi ya 20 nipo chuoni hapa Dar mwaka wa kwanza.
hadi ninapoandika haya najiona nipo single kwa maana kwamba hakuna msichana ninayemregard kama girlfriend.
Nishawahi kuwa kwenye mahusiano lakini yameshavunjika yote sijui kwanini nipo single hadi sasa. Navaa vizuri "smart", ni bishoo, hustler, uhandsome upo, funny, caring na pesa madafu kidogo zipo ingawa sio mhongaji. lakini bado nipo single tu.
Nimefikiria sana nikaona nibaki hivihivi hadi atakapojitokeza wa kuwa naye. naelekeza nguvu zote kutengeneza maisha kwa kutimiza ndoto zangu badala ya kutafuta wasichana jambo ambalo limeshindwa kuzaa matunda. Nahisi was meant to stay single forever.