cosa nostra
JF-Expert Member
- Sep 17, 2010
- 1,773
- 1,804
Miaka yote ya umri wangu since nimemature nimekua nawasikia wasichana wakiwa na dhana ya kuhisi kua wao ni chombo cha starehe kwa wanaume.
Wasichana wanapenda sana kusema utanichezea utaniacha, utadhani wao uwanja wa mpira wakati kama raha wote tunapata na kama kupigana vibuti wote tunapigana.
Kuna wakati wasichana wanatongoza wavulana ila sijawahi sikia mvulana anasema utanichezea utaniacha ndio kwanza anashukuru Mungu kupata nazi chini ya mwembe.
Wanapenda kusema tena ''nyie wanaume waongo sana'' ukiangalia uongo wenyewe ndio huo huo since enzi za mwalimu maneno kama nakupenda sana, wewe mzuri, niko tayari kukuoa, unafaa kua mama watoto wangu, wewe ni wife material, unaumbo zuri hata kama amepigwa pasi na sura mbaya kama amegongwa na treni ila nae anaaza kujibinua binua ka kuachia utamu.
Napenda kuwakumbusha dada zangu hakuna mwanaume mwenye mpango wa kushezea mwanamke. Kama wao wanavyo fikiria ila waachae kufikiria mambo ya ndoa siku ya kwanza tu ya mapenzi.