Kwanini wanawake wanapenda kujiita "dume la shupaza"?

raynew

Member
Jan 17, 2017
9
14
Kwanini wanawake mnapenda kujiita dume la shupaza jna maana gani?
Jike shupa haina shida
Nashangaa wanawake kujiita "dume la shupaza" maana yake nini?
 
Geuka mario ili ujue maana yake. (Unakula makofi ya ukweli kama ya shilole kwa mziwanda ndio utajua maana yake vizuri)
 
Back
Top Bottom