Mwanaume fanya yafuatayo, acha mawazo ya kujinyonga

herman kajiru

Member
Jan 21, 2017
72
52
Copy&Paste.

Nimekaa nimewaza sana kuhusu mwanaume aliyejiua kisa Mwanamke aliyemfungulia duka na saloon nikajifunza mambo yafuatayo....

• Kuwa na mwanamke 1 tu eti ndo mwanamke wa maisha yako ni sawa na mangi kuwa na duka 1 tu analotegemea akiibiwa ndo mtaji wote kwisha..

•Ndio maana kule kwetu ukiwa na mke mmoja au wawili unahesabika ni bachelor tu na kama huna wake watatu huwezi kushiriki kwenye vikao vya ukoo.

•Mwanamke zawadi anayoweza kupewa na asikuache ni mimba pekee na wala sio fedha na mali. Tena kuna wengine wanajifanya kuwalipia ada..acha kuingilia majukum ya watu, hiyo ni kazi ya babaake.

•Wanaume jifunzeni hatutaki tena mtu afe kizembe....

•Nakumbusha tu tena idadi wa watu dunian
Women 5.6 bilion
Men 2.6 bilion
Tujitahid tusipungue tena...

Ongeza michepuko kuepusha kujinyonga
 
Ni vizuri unge acknowledge kwa kusema C&P
 
Teh teh teeeeh!! Ingekuwa inapangika mbona safi tu, kwani mmeanza kufa leo.

Mwanaume mpumbavu husababisha kifo chake mwenyewe, kama sio kwa kujinyonga basi kwa michepuko. Kifo hamkikwepi maana kumbe suluhisho lenu bado ni mwanamke!!!
 
Teh teh.. Inategemea na mtu tu! Mimi akinuzingua mwanamke siwezi tafuta mwarobaini kwa mwanamke mwenzie, naingia zangu kwa pusher chaap nafanya yangu
 
Back
Top Bottom