Nyoka_mzee
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 3,695
- 5,522
Kuna haka katabia unaweza kuwa na mtu wako(Mwanamke)eidha wa ndoa au mko kwenye mahusiano,Huwa wanatabia yakuja kusema mtu fulani kanitongoza !!
Huwa najiuliza Hivi mbona wale anaowakubalia Haji niambia?
Na wanaume wengi Tumekuwa tunaghilibika kwa hili,kwa kuona kama tunapendwa ila Tuangalie upande wa pili ,Hawa na wanadamu je ikitokea naye kamtamani mtu ,akajikuta anamalizana nae kibingwa mbona Hawatuambiii ...
Bado naendelea kujifunza namna ya kuishi na hawa viumbe "Ewe mungu wa Adam na Hawa nisaidie