Wanaume wa mikoani, na swaga za kinyonge kama hizi

tzfanatic

JF-Expert Member
Aug 24, 2015
626
382
Wanasema Arusha ni mji wa wagumu na ndio maana una sifa ya kuwa na Wasanii wengi wanaofanya Hiphop lakini ugumu huo usiutegemee kwenye ndoa, Wanaume wa Arusha mwaka 2016 wameshindwa kuvumilia na kuripoti zaidi wanavyonyanyaswa na Wake zao kuliko miaka ya nyuma.

Makao makuu ya Kitengo cha Dawati la Jinsia Arusha kupitia kwa Mkaguzi wa Polisi Happyness Temu yametoa taarifa ambapo Happyness ameongea na AyoTV na millardayo.com na kusema mwaka 2016 matukio ya Wanaume kunyanyaswa Arusha idadi iliongezeka karibu mara mbili ikilinganishwa na ya mwaka 2015.

Anasema ‘kumekua na ukatili wa kijinsia na wengi wanadhani ukatili huu wanafanyiwa Wanawake peke yake lakini ukweli ni kwamba wapo Wanaume wanaonyanyaswa pia na sasa hivi wameamka kuliko zamani

Wanaume wanaofanyiwa ukatili ikiwemo kunyimwa tendo la ndoa ni wengi, huwa wanakuja kulalamika… idadi ya Wanaume waliokuja mwaka 2016 imepanda kutoka 34 mwaka 2015 na kufikia 63 mwaka 2016 ambayo ni sawa na asilimia 48‘ – Happyness

source http://millardayo.com/men05/
 
source Idadi ya Wanaume wanaonyanyaswa na Wake zao imeongezeka Arusha - millardayo.com
Heading umeanza vizuri nikajua leo yametukuta wa mikoani ila content imenifanya nizidi kuwa jasiri nikaagiza na kalusekelo kadogo ndio namalizia hapa.
Ungesema wanaume wa Arusha mkuu sio mikoani. Huku kwetu mbona mambo kama kawaida wamekaa huko kwenu vipi au ndio wale wa dar?
 
Katika maisha yako usije ukafanya kosa la kuoa mwanamke alie kuzidi kati ya haya nguvu za mwili,ujanja na maarifa utaendeshwa puta.
 
Hapo akija kidume cha Dar huyo demu wa mkoani anayelinga kutoa papuchi anaitoa kilaini ili aletwe mjini.Akibisha anaimbishwa kiromantic,ananyegeshwa mpaka anatoa, alafu utasikia nyie Wabongo mnajua mapenzi huku akiponda kaka zake kwamba wanachojua kuparamia tu.Baada ya hapo ni full kupiga simu.
Just my experience.
Dar raha sana.
 
Back
Top Bottom