Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,658
- 15,784
Inawezekana wengine mliingia kwenye ndoa 'haraka, haraka' ili muanze zoezi la kupata uzao lakini mambo ndio yamegoma.
Kuna wengine wamekaa hata miaka kumi bila kupata mtoto kwenye ndoa hivyo najua mtakuwa na machungu mengi, ila unapopata mahali pa kutolea duku duku lako unapata faraja moyoni.
Huu uzi ni maalumu kwa wote ambao ndoa zao zimekwama kuweza kupata watoto kwa ajili ya faraja na ushauri on the way foward!
NB: Kejeli na vijembe kwenye uzi huu ni marufuku. Hapa tuna deal na watu waliovunjika mioyo so kuwa 'word sensitive' unapochangia uzi huu.