Freyzem
JF-Expert Member
- Jun 29, 2013
- 10,113
- 24,642
Dunia imegeuka sana kwa kweli na wanawake wamekuwa katili sana kiasi kwamba hata kwenye familia imekuwa ngumu kuwaamini wanawake kwa sasa!
Nimekutana na picha kwenye mitandao zinaonyesha mwanaume aliyekatwa uume wake na kisha kupikiwa kwenye tambi!
Sijajua exactly hilo tukio limetokea wapi lakini wenye taarifa zaidi wanaweza kutujuza..
Kwa kweli aliyesema wanawake tunatakiwa kuishi nao kwa maarifa na akili hakukosea,
Ambao hawajao nawashauri wasiingie kwenye ndoa kichwa kichwa, wala kuanzisha mahusiano pasipo kuchukua tahadhari, kubwa zaidi ni kumuomba Mungu kabla ya kufanya maamuzi!
Picha ni za kuogofya!