Hey there! Please if you are not a lady stay out.
Wadada wenzangu habari! Lengo la kuanzisha uzi huu ni kuwaomba tuongee na kushauriana mambo yanayotuhusu sisi Wadada /wanawake.
Kumekuwa na post nyingi humu zinazotukandamiza,kutunyanyasa kutusema vibaya hata nyingi kututukana. Lakini tukiwa wamoja na tukaongea mambo yetu hapa hatutajisikia upweke wala kuvunjika moyo.
Leo hii tunajua mwanamke kaachiwa jukumu la kuendesha nyumba, mwanamke ndiye analipa kodi ya nyumba, analipa ada za watoto anahangaika kulisha familia hata kama anamwanaume ndani.
Wanawake wametelekezwa na watoto au mimba kukataliwa halafu kutukanwa kuwa yeye ni single mum. WAPO wanaotutukana kwa ajili ya maumbile yetu n.K
KATI YETU SISI WANAWAKE WAPO MADAKTARI, WAFANYABIASHARA,WANASHERIA SOCIOLOGIST KAMA MIMI NA WASOMI TOFAUTI KATIKA KADA
TOFAUTI. Karibuni wote tuongee MAMBO YANAYOTUHUSU, TUKIPEANA USHAURI, KUPEANA REFERRALS,NETWORKING, KUTIANA MOYO....tupresent ishu zetu humu na tuziongee. Tunapokutana na jambo kwenye post nyingine ambazo zinatusema vibaya Wadada/wanawake tuyaongee hapa