Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Week ya nne mwenzenu tangia wife asafiri kikazi, jogoo hawaki kabisa, wife huwa ni mtu wa kusafiri Mara kwa Mara, asubuhi na mapema lazima bunduki isimame wife awepo asiwepo. Nimeshangaa sana...
2 Reactions
61 Replies
7K Views
Habari zenu, ladies and gentlemen, Hali ya baadhi ya wanaume kupenda kupiga chabo, au kusikiliza watu wakigegedana katika ma guest na nyumba za kawaida inazidi kua kubwa Jana maeneo flani hivi...
2 Reactions
55 Replies
12K Views
Habari za asubuhi wakuu, tumaini langu ni wazima wa afya, Nimeonelea nilete bandiko hili kutokana na tabia tuliyokuwa nayo wanaume wengi japo hapo juu nimesemea kwa wa Dar hata mikoani mnahusika...
13 Reactions
177 Replies
12K Views
Hbari za alfajiri wana jamii.. hebu tupashane.. "Kati ya mwanamke na mwanaume nani anaongoza kuchepuka ??"
1 Reactions
133 Replies
13K Views
__________________________________________________ Siku moja jioni Rais Obama alimshauri mkewe wakale dinner mtaani huko Washington ktk mgahawa wowote wa watu wa kawaida. Wakakubaliana kisha...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani nifanyaje kuhepuka hii kadhia yani Nina tatizo la kuvutiwa na mijimama yani kila nkikutana na mmama kuanzia miaka 40 huwa navutiwa nao kimapenzi ila nshindwa kuwaambia ukweli
2 Reactions
20 Replies
3K Views
BY DAYAN MASINDE 1. “Ability to hold conversations” Men love to talk too, they value conversations with the one they love. No man wants to come home to a wife with whom he has nothing to...
14 Reactions
87 Replies
7K Views
Ndugu wana JF, Ni miezi 5 sasa tangu nimekuwa mbali na mke wangu wa ndoa nimpendae kwa dhati, nipo nje ya nchi kikazi bila mke. Huku niliko hazipiti wiki mbili lazima niote nafanya mapenzi na...
0 Reactions
36 Replies
7K Views
Awe na elimu walau kidato cha nne mm ni muajiriwa serikalini nina mtoto 1mengne tutaongea tukishawasiliana 0745645518
1 Reactions
0 Replies
980 Views
kuna makosa yaki ufundi
3 Reactions
24 Replies
5K Views
Laiti kama puli ingekuwa ina ngazi za vyuoni basi mie nina PHD kwenye kupiga punyeto, Imekuwa ni tabia Sugu kwangu kupiga puli kila siku au kila baada ya siku mbili, hii tabia nliianza nikiwa na...
2 Reactions
31 Replies
21K Views
Habari za Ijumaa wapendwa, basi leo nina tukio lilompata shost wiki hii. Shost yangu Lilian anafanya kazi katika moja ya mashirika ya umoja wa mataifa, yeye alikwenda shule vizuri. Liliana...
15 Reactions
76 Replies
7K Views
Salaam kwa wote, Nimeishashuhudia japo siyo mubashara wapenzi wanafanya mapenzi ndani ya gari zaidi zaidi zile za vioo vya tinted kwenye parking za Coco beach na kwenye ma bar. Wanaume...
5 Reactions
107 Replies
25K Views
Habari jamani... Leo nataka kushare nanyi kisa kimoja ambacho kilinitokea jana. Jana muda wa saa moja au moja na nusu jioni nilikua narudi nyumbani kutoka katika shughuli zangu. Mimi ninafanya...
2 Reactions
122 Replies
9K Views
Ni matumaini yangu kuwa mu wazima. Kwa Mara ya kwanza najitokeza kuandika Uzi huu special kwaajili ya kumtafuta msaidizi/mke/mchumba aliyeandaliwa kwaajili yangu. Mimi ni kijana wa miaka 26...
2 Reactions
30 Replies
9K Views
Wanajamvi, Hii nimeona niilete kwenu maana ni kwa muda mrefu nimekuwa nawatokea wasichana hasa katika chating unaanza kwa kumtega tega huku una hofu hofu haichukui muda unaona bora tu toka pale...
4 Reactions
24 Replies
5K Views
Wadau, Nimefanya kautafiti kidogo kupitia sample mimi mwenyewe nimegundua pombe dawa nzuri ya kuchelewa kukojoa pale unakupokua kwenye mechi hasa kwa wale wanaowahi kufika mwisho pia ni dawa...
0 Reactions
14 Replies
6K Views
Kwa wale wenye vingamuzi vya azam miss Rwanda uko live rtv, angalieni muone watoto walivyoenda shule.
0 Reactions
50 Replies
6K Views
Hey jf, huwa inakeraga kuona mtu anakuafata anakuliza hivi hunaga boy/girl wa kutoka naye , yani watu wakikuona upo cool hunaga ishu za ku hang out with couples ndo wataanza kusema huyo...
0 Reactions
3 Replies
959 Views
Wadau habari zenu, Jamani kuna mke wa mtu nilimtongoza lakini sikujua kama anakaa na msela wake, tulipoanza mambo yetu yale akaanza kunisifia kwamba namkuna vizuri kuliko msela na wake na...
3 Reactions
37 Replies
5K Views
Back
Top Bottom