Clemalus
Member
- Dec 23, 2016
- 23
- 30
Ni matumaini yangu kuwa mu wazima.
Kwa Mara ya kwanza najitokeza kuandika Uzi huu special kwaajili ya kumtafuta msaidizi/mke/mchumba aliyeandaliwa kwaajili yangu.
Mimi ni kijana wa miaka 26, nipo Mwanza. Dini yangu mkristo na nina mcha Mungu. Elimu yangu ni ya Chuo, na ni mwajiriwa.
Natafuta rafiki wa kike, atakaekua mchumba na hatimae mke, awe mwenye umri wa miaka kati ya 20 hadi 24, awe mkristo, anae mcha Mungu, awe amehitimu au bado yupo Chuo, na awe hajazaa bado.
Kwa aliye na sifa hizo, ani PM ili tuzungumze zaidi.