Kurwa na Doto ni wasichana mapacha wafananao sura ,umbile na sauti,hawafichani jambo,la kuvutia zaidi ni kuwa wote wanapenda vitu vya aina mmoja,tena hupenda kuvaa nguo za kufanana kila...
Alifahamika kwa jina la Anko Mavi!jina hilo la mzaha alilipata kutokana na kazi yake ya kuchimba vyoo,kuvizibua vyoo vilivyojaa lakini pia kuyabeba 'mavi'ooh ashakum si matusi nilipaswa kuandika...
Hafijawa Matata alidamka asubuhi na mapema kwani usiku wote kwake ulikuwa kiza cha kuogofya!naaam kaka hafijawa hakupata hata lepe la usingizi.
Aliposikia milio ya jogoo kuashiria kuwa kiza...
Hakuna ubishi kuwa watu wengi na hasa wanaume wanaongoza kwa kulalamikia ugumu wa maisha kwa kisingizio cha kuwa rais amebana sana.
Binafsi sikubaliani nao kwa sababu walizoea kujipatia pesa kwa...
Habari za jioni ndugu na wadau wa jukwaa hili maridhawa,
Nia ya kuandika uzi huu ni kuomba ushauri juu ya maisha yangu ya sasa ambapo nategemea mtoto na dada mmoja ambaye kiukweli ni basi tuu ila...
Wanaume mpo?
Hizi ni dalili 9 za msichana unayepaswa kumuoa By Fredrick Bundala on March 14, 2016
Umeshapata mwanamke unayefikiria kumuoa? Pamoja na kwamba kila mwanaume ana vigezo vyake...
Habari wana MMU bila shaka mmesherekea sikukuu ya Chrismass na Mwaka mpya vizuri na kwa amani,ingawa jana kundi la Panya Road limetikisa Mji maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar Es Salaam kama Sinza...
Pamoja ya kwamba kunabaadhi ya mambo unamfanyia mume wako kwa nafasi yako kama mke, pamoja na kwamba unampa unyumba japo kwa manati lakini kunavijitabia vidogovidogo unaweza usivione ni shida...
Hapo zamani mwanamke alikuwa akipata ujauzito kila mtu alifurahi na kupongezwa na kila mtu isipokuwa wale waliokuwa na roho za korosho.
Miaka ya sasa imekuwa tofauti mwanamke akipata mimba huenda...
Mambo, mimi ni kijana wa miaka 31. Naishi dodoma. nimepanga na kuajiri. kwakweli natafuta mdada au mwanamke mwenye hela awe kama sponsor wangu katika mambo mbalimbali ila na mimi nimpe utamu...
Kuna tamthilia moja inaendelea sasa..moja ya mambo yaliyojitokeza
ni la watoto wa kiume kutokuwa na ma girlfriend kwa mda mrefu
mpaka wengine wameanza ku doubt jinsia zao.....
na moja ya mbinu...
Watu wa ukumbi huu natumai muko poa sana.
Mwanzo wangu wa kuingia katika mapenzi nilikuwa na mpenzi wangu 1 tu ambaye tulipendana sana na ukweli sikupenda kufanya naye kwa sababu nilimtegemea kwa...
Habari zenu wana JamiiForums,
Jamani leo nimekuja na stori inayonihusu, inshort nimemaliza chuo mwaka wa tatu sasa niko home tuu no job, sasa jamani tangu nikutane nae ni 2 years sasa...
Taarifa nilizopenyeshewa na daktari mgonjwa anapumulia ventilator ameshapata cardiorespiratory arrest mara mbili (moyo na mapafu yaligoma kufanya kazi zake ) ,na mke inasemekana ametokomea...
Ni wakati wa kuoa sasa umefika. Nimeamua kuchagua mmoja kati ya wengi wa zamani.
Nikiangalia list ya zamani ni ndefu, kiasi kwamba wote wakinipa mchango nitakuwa pazuri.
Lakini kabla...
Onyo: Tafadhali comment kistaarabu/responsibly.
Zamani wakati nakua nilijionea jinsi watu hasa akina dada na vijana walivyokuwa wanafanya juhudi kuzamia nchi mbalimbali, hasa South Africa, UK na...
Waungwana habari za leo,
samahani kama kuna wanaokwazika na mimi,hutakiwi kunitukana bali omba yasikukute.kama mjuavyo nina watoto watatu wa mama tofauti ,wawili wapo home na mama,na huyo mmoja...
Salaam wanajamvi. Heri ya mwaka mpya 2017.
Jamani Mimi ni Kijana wa kiume nina mpenzi wangu tunapendana nina mahusiano naye sasa yapata mwaka mmoja.
Tatizo linalonisumbua hadi nashindwa kuelewa...
Nimejitafakari sana na kuona nahitaji mabadiliko.
Nilianza punyeto mwaka 2005 na mwaka huu mwezi wa nane nilikuwa nafikisha anniversary ya miaka 10 (decade) ya upigaji punyeto.
Nimekuwa...
Habarini wana JF,
Mimi ni kijana mwenye umri chini ya miaka 30, ninaishi na mke wangu kwa kipindi kisichozidi miaka minne na tumejaliwa mtoto mmoja.
Tangu niwe na mwenzangu tumekua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.