Tasbeeh313
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 1,915
- 2,046
Hey jf, huwa inakeraga kuona mtu anakuafata anakuliza hivi hunaga boy/girl wa kutoka naye , yani watu wakikuona upo cool hunaga ishu za ku hang out with couples ndo wataanza kusema huyo hasimamishi , sijui domo zege, Tom boy, ana ugly face kama ya father ake ,
√√Hemb skia hii, kila mtu ana starehe zake, na tupo tofauti wengine hawapendi mahusiano ,kuna starehe nyingi,, Kutumia kilevi, kuangalia mpira na marafiki, jokes za hapa na pale is only sex for someone, wengine huvuta bangi kuleta burudani ya akili, kutumia vilevi vikali , kucheki movies n.k
*Li mtu linatoka huko linakutumbulia macho eti " we hunanga mahusiano atii?? we kwani tunatumia moyo mmoja , unachokipenda mwenzio anakikataa katuuu , hafu watu wenye mahusiano mingi ndo huwaga wana Love maniac
√√wengine huchaguanga to be solitude over relationship
**we should learn to mind our oun stuff