mis lemich
JF-Expert Member
- Jan 25, 2017
- 207
- 176
Hbari za alfajiri wana jamii..
hebu tupashane..
"Kati ya mwanamke na mwanaume nani anaongoza kuchepuka ??"
hebu tupashane..
"Kati ya mwanamke na mwanaume nani anaongoza kuchepuka ??"
Mimi naona hakunaHbari za alfajiri wana jamii..
hebu tupashane..
"Kati ya mwanamke na mwanaume nani anaongoza kuchepuka ??"
Asanteh sana ... akitokea mtu akalipatia hili ufumbuzi atakua ameokoa dunia nzima ...Na maradhi ya kuambukizana yatapunguaWanawake wanaongoza na mpaka leo naendelea kufanya utafiti, kwanini wanachepuka wakati ukimuangalia kwake ana kila kitu, yaan ana nyumba nzuri, anakula vizuri, anavaa vizuri....
Lakini unakuta mwanaume anaechepuka nae hana chochote, sasa unabaki unajiuliza huyu kakosa nini?
Wataalam wa haya mambo mtusaidia kujua sababu ni kipi hasa huwafanya hawa wanawake kuchepuka?
ANGALIZO:- TUNAPOTISHANA mara andaa KY mara mke wa mtu sumu, mara kufumuliwa Malinda nk.... Kwa kutumia vitisho hivyo tunaendeleza kulea na kukuza tatizo.
Cha msingi tuangalie kwanini (kiini cha uchepukaji) tukijua kiini cha uchepukaji itakuwa rahisi sana kutokomeza hii hali, lakini tunapokimbilia kwenye kutishana tunaendelea kukuza na kulea tatizo.
Karibuni.
Nafikiri kuzidi kuongezeka kwa wanawake kunaweza kuwa chanzo kutoka kwa waume zao ... Kutojiamini na wanawake zao....kisa Haka kamsemo " mboga moja kila siku inachoshaMi naona kasi ya wanawake kuchepuka imekuwa kubwa kwa zama hizi
Yawezekana... Though out of mada .. Sijui umefikira nini rafkimember mpya huyu, bado haamini kama ni kweli yupo jf
Ukiona hivyo ujue kuna tatizo i need a doctrMkuu naona usiku wa kuamkia leo hujapata usingizi
Hii haihawahi kuwa na mshindi ni kama kusema jua na mvua bora nini. Ila pamoja na yote nyie wenzetu wa jinsia pinzani ni kiboko