Ndugu wana JF,
Ni miezi 5 sasa tangu nimekuwa mbali na mke wangu wa ndoa nimpendae kwa dhati, nipo nje ya nchi kikazi bila mke.
Huku niliko hazipiti wiki mbili lazima niote nafanya mapenzi na mtu nisie mfahamu na kujikuta nimelowa na siku hali hio ikitokea jogoo hawiki kabisa, je hii hali inatokana na nini?
Huku niliko sitaki kumsaliti mke wangu kwani alinisubiri takribani miaka 4 nimalize masomo na tumekuja kuoana akiwa bikra na amekuwa ni mwaminifu sana kwangu.