Wazabanga kuku
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 264
- 378
Wadau,
Nimefanya kautafiti kidogo kupitia sample mimi mwenyewe nimegundua pombe dawa nzuri ya kuchelewa kukojoa pale unakupokua kwenye mechi hasa kwa wale wanaowahi kufika mwisho pia ni dawa nzuri ya kuondoa stress kama umeachwa manake siku hizi kuna wimbi la vijana wa kiume kujinyonga.
Jinsi ya kutumia dozi;
Asubuhi kabla hujala chochote chukua pakiti 4 za valuu kunywa.
Mchana tafuta bia yenye alcohol at least 5.5% kunywa 5 ule na kitimoto ya kutosha.
Usiku tafuta konyagi kubwa 1 kunywa pamoja na supu ya pweza.
Fanya hivi kwa siku 3 then mtafute demu wako utanipa matokeo.
Pia dawa hii ni nzuri kwa kuondoa stress.