Wazabanga kuku
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 264
- 378
Wadau habari zenu,
Jamani kuna mke wa mtu nilimtongoza lakini sikujua kama anakaa na msela wake, tulipoanza mambo yetu yale akaanza kunisifia kwamba namkuna vizuri kuliko msela na wake na nimemfundisha mambo mengi kwa muda mfupi ambayo hajawahi kuyapata kutoka kwa bwana wake.
Sasa hivi karibuni bwanake kamshtukia akamwagia nguo zake tindikali na wamegombana na simu kamnyang'anya, nimemwambia msichana tuachane hataki anasema bora aachane na huyo mume wake lakini sio kuachana na mimi kiukweli msichana ni mtamu ana umbo dogo dogo hivi lakini nina wasiwasi nisije kurogwa jamani manake nasikia mke wa mtu sumu na kuniacha hataki.