Inakuwaje mtu kupenda chabo kuliko kufanya mapenzi?

Granter

JF-Expert Member
Dec 11, 2016
483
361
Habari zenu, ladies and gentlemen,

Hali ya baadhi ya wanaume kupenda kupiga chabo, au kusikiliza watu wakigegedana katika ma guest na nyumba za kawaida inazidi kua kubwa

Jana maeneo flani hivi, kuna jamaa alienda kukaangisha chips kwenye banda moja hivi, mkaanga chips baada ya kumaliza kazi, Jamaa anataka kulipa, chakushangaza mkaanga chips akasema "WEWE NENDA TU, JAMAA NAJUA UNAENDA KULALA NA HUYU MSICHANA.

Nielekeze Guest uache dirisha wazi kidogo usizime taa. Biashara ikawa imeishia hapo, jamaa akafanya kama alivyo ombwa. Lakini pia, matukio ya watu, kuchomwa spoke za macho kwenye mijengo ya watu yamezidi.

Hivi mtu anaachaje mke ndani kwenda kugonga chabo!
 
Kama hawa
IMG_20170131_062505.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom