Msaada nifanye nini Simuelewi Mke wangu

Hapo unatakiwa ukae nae umuulize labla kuna kitu tofauti muulize taratibu kwa upendo then majibu atakayokupa ndio yatakujulisha kuna nni ndani yake
asante Mkuu nilisha ulize sana mpaka nalifanyia outing za mbali kabisa ilianiambi lakini nilifeli
 
Ndo inakuaje mkuu
a8631a024a4ca235f6612dcd1b19d1eb.jpg
 
You are wrong my friend.

Sisi wanawake tunatofautiana na nyie wanaume na hata na wanawake wenzetu.

Kuna baadhi ya wanawake wana very low libido. Ile hamu ya tendo hawana kabisa. Na sio kwamba ameshafanywa sana ama alianza akiwa mdogo sana. Ndo walivyo.

Hapo cha kufanya sio kumbadilikia na kumchukia. Kaa chini nae. Ongea nae mwambie kisichokufurahisha na mjaribu kutafuta solutions.

Mbona zipo nyingi. Hivi vyakula na matunda tu tunavyotumia msivichukulie poa. Kuna ambavyo vinaongeza hamu ya kushiriki tendo.

Ongeza mapenzi kwake. Badilini maeneo mnayokutana kufanya mapenzi. Msirudie pale pale ama position ile ile kila mara. Muogeshe, Nukia na wewe, pendeza mbele yake.

Mtunuku mazawadi. Anza kumuandaa mapema. Mchana kutwa mchokoze chokoze. Ukiwa njiani kutoka safarini mchokoze chokoze. Muandae vizuri, let her cum first na vijimambo kama hivi.

Be naughty. Pinch her butt. Grab her out of nowhere kiss her, hump her. Ndo mapenzi yenyewe hayo.
 
mkuu naamini hii itamsaidia akiifuata kwa umakini mkubwa...
 
Huyo siyo wa kwako tena,huyo ameshakuwa downloaded kwenye mitandao ya kijamii mkuu!!........nina experience ya miaka tisa ya kudownload na kula wake za watu kutoka kwenye mitandao ya kijamii mkuu,ni watamu sana!.....huwa wananisimulia jinsi ambavyo huwa wanawachoka mapema kwa kuwapiga robo bao,kutokuwaonyesha upendo/mapenzi e.t.c!!
 
You are wrong my friend.

Sisi wanawake tunatofautiana na nyie wanaume na hata na wanawake wenzetu.

Kuna baadhi ya wanawake wana very low libido. Ile hamu ya tendo hawana kabisa. Na sio kwamba ameshafanywa sana ama alianza akiwa mdogo sana. Ndo walivyo.

Hapo cha kufanya sio kumbadilikia na kumchukia. Kaa chini nae. Ongea nae mwambie kisichokufurahisha na mjaribu kutafuta solutions.

Mbona zipo nyingi. Hivi vyakula na matunda tu tunavyotumia msivichukulie poa. Kuna ambavyo vinaongeza hamu ya kushiriki tendo.

Ongeza mapenzi kwake. Badilini maeneo mnayokutana kufanya mapenzi. Msirudie pale pale ama position ile ile kila mara. Muogeshe, Nukia na wewe, pendeza mbele yake.

Mtunuku mazawadi. Anza kumuandaa mapema. Mchana kutwa mchokoze chokoze. Ukiwa njiani kutoka safarini mchokoze chokoze. Muandae vizuri, let her cum first na vijimambo kama hivi.

Be naughty. Pinch her butt. Grab her out of nowhere kiss her, hump her. Ndo mapenzi yenyewe hayo.
Bi mkubwa, unatumia wine gan?, ntakuletea wangu kutoka umu umu JF ili tupate somo
 
Sasa mwana atakuwaje na hisia wakati wewe ukihitaji huwa ni kuparamia tu kama unadandia daladala la kwa Mtogole? Mapenzi ni sanaa mwana siyo kuparamaia tu, katu hatakuwa na hisia hata kidogo na ndo maana unamchosha anaona bora ajikalie tu!! Kuwa mtundu kwenye uwanja usiwe mzigo jombaaa!! Utaishia kumhisi vibaya tu mwenzio kumbe wewe ndo umeshindwa kukidhi vigezo! Kuna mama alishawahi kuniambia alikaa kwenye hayo mambo kwa miaka zaidi ya 20 bila kuwa na hisia yoyote, sasa alipoonja huku akatamka mwenyewe kwamba kumbe naye ni mwanamama! Ha ha ha haaaa,, huwa sisahau!! Hivyo na wewe kuwa mtaaluma kwenye hayo mambo!!
 
Wakuu naomba nipeleke posa kwa Karucee, kanaonekana kanajua mambo haka! Sijjui kamezaliwa Tanga!!
 
Mpe dawa ya kuongeza kichupa tu mkuu..speed yake ataku suprise atakavo kuwa anaililia..
Ongea na wapemba vizuri watakusaidia
Hiyo dawa ni nyoko tone tu..lina mtosha
 
Back
Top Bottom