Naishi na mke ambae nyumbani wanamtambua ila yeye ninapomwambia twende kwao ili nijitambulishe anakataa na kusema haina haja, yapata miaka miwili sasa swaga ni zilezile.
Nifanyeje; Ushauri tafadhali.
Habari za jioni wakuu,
Basi kule kibaruani nilitokea kupata swahiba ni mkaka umri wetu ni karibia sawa, kaka huyu ameoa na amebahatika kupata watoto wanne na mke wake. Kaka huyu tunaongea mengi...
Wanawake achaneni na maswala ya kwenda kwa waganga ili kusafisha nyota sijui wenyewe mnadai, unakuta mwanake mzuri hadi unavutiwa nae, unatumia pesa zako hadi unampata, mkienda sasa ili...
SINTOFAHAMU MAISHANI KATI YA MIAKA 24 HADI 29
1. Umri mgumu zaidi katika maisha yako ni kati ya miaka 24 hadi 29 hivi. Presha ya kuwa mtu wa aina fulani au levo fulani ya maisha katika umri huo...
Habari wana jamvi wenzangu
Nimeona niingie hii room kwa style hii ingine kwa makaka, mababa, wadogo zetu na hasa ninaowasema haapa ni WANAUME ambao ni mabaladhuli kabisa, samahani sana kwa...
Nimeshindwa hii inshu niiweke kwenye jukwaa gani, nikaona hata hapa si mbaya sana, nina Jirani yangu tunaishi nyumba tofauti lakini ziko karibu, yeye kila ikifika saa moja asubuhi ni mama wa...
A woman's home is her kitchen.
My message to all women is this, don't avoid the kitchen. That's your home in your house, the only place you are familiar with, in any palace, bush or hut.
It...
Inasemekana wadada wana tabia tofauti katika mapenzi kulingana na maumbo ya miili yao,
1.Wasichana wafupi wanaongoza kwa wivu wa mapenzi na kuwajali wapenzi wao.
2. Wasichana warefu huwa...
Kama akili yako imezidi utimamu na unataka
kuupunguza, jaribu kumpenda mtu asiejipenda
mwenyewe.
Kama hajajitambua bila shaka atakusumbua tu. Watoto waachie watoto
wenzao. Cheza na size yako.... OVA
Alikuwa mdada mzuri sana mwenye weusi wa kupendaza, mume wake alikuwa rafiki yangu sana , mbaya zaidi alikuwa ananipa siri za mke wake na kasoro za mke wake, (nisamehe rafiki yangu) sasa basi...
Wakuu hbr zenu!
Kuna kijana mwana MMU mwenzetu namzimia sana, ni mpole post zake zimejaa hekima na hajawahi kutukana, nimejitahidi kutupia vipost ili nayeye aje angalau lkn wanakuja nisiyo...
READ ON ! ! !
.
A man just got Married and was returning home with his Wife. They were crossing a Lake in a boat when Suddenly a Great Storm Arose.
The man was a Warrior but the woman became very...
Tulisoma wote O'level. Tulianza kudate form 3. Chotara flani amazing la kimasai na kijerumani. We were labeled the most childish couple. I was all shy and innocent. (STILL AM)
The guy was...
Habari za weekend wakuu,
Kichwa cha habari hapo juu kihusike, katika zile harakati zangu za kutafuta migegedo imetokea kwamba nimejikuta kila msichana ninayemtokea ama ambaye yupo karibu yangu...
Habari zenu jamani watu wazima,
Naombeni ushauri wenu maana nipo kwenye kimuhemuhe kikubwa. Ni hivi, kuna msichana mmoja tumekuwa marafiki tangu last year. Na urafiki wetu uli develop baada ya...
Asanteni sana wadada wote mlionesha nia ya kuwa na mm pm tokea jana, ila nadhani moyo wangu umeamua na umemdondokea mtoto mzuri mwenye jina la ua, asante uwaridi langu wa moyo, nadhani we can take...
Wakuu, nimepata zigo nataka nikalitindue kesho mapema tu, pamoja na kwamba tutatumia zana lakini nataka "kuhakiki" afya zetu, hivi ANGAZA watakuwa wazi na mapumziko haya ya mwisho wa mwaka kweli...
Wana jamvi, msaada tutani.
Ni rafiki wangu wa karibu sana. Aliamua kunifuata kwenye chama cha wanandoa hivi karibuni kwa kufunga ndoa iliyoambatana na harusi iliyofana sana hapahapa jijini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.