adden
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 7,033
- 15,616
Wanajamvi,
Hii nimeona niilete kwenu maana ni kwa muda mrefu nimekuwa nawatokea wasichana hasa katika chating unaanza kwa kumtega tega huku una hofu hofu haichukui muda unaona bora tu toka pale mwanzo ungempa laivu tu bila chenga yaani mambo mubashara.
Maana mwisho wa siku unakuta ni mrahisi kuliko hata urojo wa Unguja na masela wanamega tu bila nguvu nyingi inaleta hasira sana, wiki 2 nzima unasaundisha kiuoga wa kuomba gemu huku watu wanakuovatek tit for tat inakera kweli siku hizi wanawake wa kuoa ni sawa na kukuta bikra leba.
Kama na wewe umeyaona usione aibu share hapa maana hauko mwenyewe.