Salaam kwa wote,
Nimeishashuhudia japo siyo mubashara wapenzi wanafanya mapenzi ndani ya gari zaidi zaidi zile za vioo vya tinted kwenye parking za Coco beach na kwenye ma bar.
Wanaume niliowauliza wanasema ambao wanafanya hii kitu wanasema wadada wengi ndiyo wanafurahia sana hii kitu, mshikaji mmoja akasema inampaga shida sana kushughulika.
1.Je wadada ni kweli mnapenda huu mchezo?
2.Je ni raha au laana?
3.Je ni mapenzi mubashara?
Binafsi hii kitu naona hafai kabisa na ni LAAANA KUBWA!