young super
JF-Expert Member
- Jan 21, 2013
- 257
- 315
Kila siku najuliza sijui makalio yana uhusiano gani na macho utamkuta mtu yupo na mkewe nae anatako kubwa tu ila kakipita kabinti kengine kana kijikalio mtu lizima ageuke upo kwenye daladala mdada kakatisha lizima ugeuke.
Naombeni kujua uhusiano kati ya makalio na macho.
Naombeni kujua uhusiano kati ya makalio na macho.