Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,414
- 39,487
Habarini Wadau,
Mwanzoni nilifikiri Mwenyezi Mungu aliamua tubaki na magovi yetu hivi hivi mpaka siku ya mwisho.
Lakini, kwa sisi wakristo tunasoma katika maandiko kuwa wana wa Israel waliagizwa wawatahiri watoto wao siku 8 tu baada ya kuzaliwa.
Kule Misri nako kwa miaka mingi sanaa kabla hata ya kuzaliwa Kristo wao walikuwa wanatahiri watoto.
Kwanini Mungu aliacha govi tuzikate wenyewe? Si angeacha kuiumba tu kabisa au tusikate yaani tubaki kama punda au ng'ombe.
Nawasilisha.