Kwani kila mahusiano utakayoanzisha lazima upewe/utoe ahadi ya ndoa?

yolk

Senior Member
Jan 29, 2017
137
240
Hii tabia mnayo sana nyie wanawake, ndio maana huwa mnaumizwa sana na mapenzi na kutuona sisi wanaume kama letu ni moja. Msela kakuona unavyovutia tamaa zikamuingia, akakusimamisha barabarani, ukaanza kuimbishwa, ukauelewa mziki, kesho, kesho kutwa ukazidi kudata kwa mshikaji, siku inayofuata unaanza kuuliza mipango ya kukuoa.

Na yeye ili asikuvunje moyo anakupa ahadi kemkemu za kukuoa ili mradi akione kilicho ndani ya hilo dera lako, jinsi mlivyo kama manyumbu mnaamini na kuanza kutangaza anataka kukuoa hadi kwa mashosti zenu (muda mwingine hadi kwa ndugu kabisa)

Akishakuvua bikini tu, zile tamaa zake zinayeyuka, anarudi kando ya barabara kuwinda mwingine..

Jifunzeni kutambua malengo ya mahusiano, sio kila mwanamme anaweza kuwa mume, wala kila mwanamke kuwa mke..
wengine wapo kwa ajili ya kugegedana tu.
 
Umenikumbusha habari za manyumbu nimecheka mkuu..!
Hawa wanyama hata huwa siwaelewi, huwa hawarudi nyuma hata kama mbele wanaona hatari huwa yanatumia wingi wao kama silaha, mengi yanajitoa sadaka ili mengi yapone..!

Aisee waombe radhi wanawake
 
Mkuu umetumia lugha Kali saana. Manyumbu????

Anyway Mungu awahurumie saana wanawake hususani ambao umri wa kuolewa unawasonga.... Maana wakiingiziwa gia ya ndoa tuu....hawachomoki....
Wengi wanaishia kuchezewa..

Ila Mungu pia anawaona wanaowadanganya Hawa watu
 
hivi wewe una muda wa kuvua bikini??hongerara
me nasogeza pembeni naingiza mtwangio,,,nikimaliza nasepa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom