Natafuta Mchumba/Mme

Millisi

Member
Jan 21, 2017
22
28
Ni Msichana mwenye umri wa miaka 28, mkristo, Elimu ya chuo nahitaji rafiki ambaye kama itampendeza Mungu awe mchumba kisha mme hadi kifo kitutenganishe awe Mkristo, kabila lolote awe mcha Mungu, Elimu ya chuo umri miaka 30 hadi 40
Aliye tayari anipm tutazungumza vingi
Natangulisha shukrani zangu za dhati

N.B
SITANII NINA MAANISHA GUYS SITOPENDA DHIHAKA NAIMANI HII PIA NJIA SAHIHI NILIYOITUMIA NITALETA MREJESHO NIKIFANIKIWA NA KADI YA MWALIKO JUU
 
ujapata hadi Leo.mkuu?
 
...., Elimu ya chuo umri miaka 30 hadi 40

Ladies jueni kua binadamu wa miaka 30/ 40 huyo hawezi kua single unless ni mjane, single father au ni mzee kijana.
Kama si chochote kati ya nilivyoainisha hapo huyo jamaa ni mume wa mtu na anataka kukuzingua.

Haya andika kuanzia miaka 25 nije pm.
 
Ni Msichana mwenye umri wa miaka 28, mkristo, Elimu ya chuo nahitaji rafiki ambaye kama itampendeza Mungu awe mchumba kisha mme hadi kifo kitutenganishe awe Mkristo, kabila lolote awe mcha Mungu, Elimu ya chuo umri miaka 30 hadi 40
Aliye tayari anipm tutazungumza vingi
Natangulisha shukrani zangu za dhati

N.B
SITANII NINA MAANISHA GUYS SITOPENDA DHIHAKA NAIMANI HII PIA NJIA SAHIHI NILIYOITUMIA NITALETA MREJESHO NIKIFANIKIWA NA KADI YA MWALIKO JUU

Nipo tayari
Naomba ni PM namba yako tafadhali
Natanguliza shukrani mbele
 
punguza punguza basi umri na elimu yaana ukipunguza kidogo tu umepata!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom