Single mothers, ni nini chanzo?

busy bees

JF-Expert Member
Aug 26, 2016
2,249
1,340
Wasalaam wana jukwaa,

Posts na majadiliano mbalimbali juu ya hawa ndugu zetu waitwao "single mothers" katika mitandao ya kijamii "social networks" zimeonekana kuwa nyingi nowadays ....

Kando na "discussions" hizo huko mitandaoni hata huku katika maisha halisi "single mothers" pia waonekana kuongezeka afu wengi wao waonesha kuinjoi kweli life yao ...

Swali: Ni nini kisababishi (source) kubwa ya uwepo wa familia hizi?
 
Chanzo ni michepuko,..................

Tunajenga bomu sisi wenyewe,wanaume particular,..................

Ukioa,stick to your wife,and provide a safe net for your children's up bringing......

Mtoto akiona baba anacheat,is more likely kama ni wa kiume,na yeye atacheat in his life(not necessary though)...........wa kike atawaogopa wanaume na ataona hawana umuhimu katika maisha yake.

Therefore,kabla hujachepuka fikiria watoto wako,yaaani je,ungependa wanao wawe na taswira hii kuhusu wanaume/wanawake in their life?
 
Chanzo ni single mother wenyewe!

Maringo kwa sana halafu kucare hata hawajui!

Nmewapitia wengi tu ili kuona wanaume wenzangu wanashindwa nini lakin huduma zao ni bure kabisa
 
Chanzo ni michepuko,..................

Tunajenga bomu sisi wenyewe,wanaume particular,..................

Ukioa,stick to your wife,and provide a safe net for your children's up bringing......

Mtoto akiona baba anacheat,is more likely kama ni wa kiume,na yeye atacheat in his life(not necessary though)...........wa kike atawaogopa wanaume na ataona hawana umuhimu katika maisha yake.

Therefore,kabla hujachepuka fikiria watoto wako,yaaani je,ungependa wanao wawe na taswira hii kuhusu wanaume/wanawake in their life?
Got your point Rebecca .... it's such a useful information .... I'm quite sure that experience of yours will certainly not only pave a way to better families but will also reduce if not getting rid of these kind of families ....
 
Back
Top Bottom