Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 19,470
- 25,393
Wakuu msaada wenu tafadhari
Leo nimejifungia nalia kutwa nzima na anayeniliza ni rafiki yangu kipenzi na si mwingine bali Punyeto
Rafiki yangu huyu huwa ananiliwaza sana nikiwa mawazo
Nikiwa nimekasirika nikipiga puchu Kosovo hasira zote zinaisha na napata furaha ya ajabu
Nikiwa sina usingizi ,namuita rafiki yangu punyeto nashtua kidogo kisha baaada ya hapo napata usingizi mnono
Nikiwa namtamani msichana na nashindwa kumuingia namuita rafiki yangu kipenzi (punyeto )kisha ananiletea huyo msichana nafanya nae mapenzi bila gharama yoyote
Mbali na kunipa furaha mara kwa mara lakini rafiki yangu huyu ndiye chanzo cha kunirudisha nyuma kimaendeleo kuanzia masomo mpaka maisha kiujumla
Nimekuwa mtu wa kusahau sahau kila mara kisa huyu rafiki yangu
Nimekuwa mtu wa kughairi mambo mara kwa mara kisa huyu rafiki yangu
Nimepata ubovu wa macho kisa huyu rafiki yangu
Lakini nimejaribu kumuepuka mara kwa mara lakini nashindwa
Hivyo basi naombeni ushauri wakuu jinsi ya kumuepuka rafiki yangu huyu