Weka urojo wa sembe mbashara kwenye mahusiano

ladyfurahia

JF-Expert Member
May 10, 2011
14,753
9,568
Heloooooooooooooooooz mabestito

Awali ya yote nawapa hi wote wadau na mabest wangu wa ukweeeeeeeee hususani wadada
habari ndo hiyo.

Leo nadhamisha somo lisemalo huna budi kuweka UROJO wa sembe kwenye mahusiano yako babuuuu eti raha ya mahusiano au kuwa na mwenzi ni pale unapoweka viutundu vipya vya kidizaini huna haja ya kuteseka eti niweke chachandu gani ahaaa urojo tu unatosha kumhamasisha yule uliyenaye. Je umejiaandaje kwa msimu huu wa valentine kuweka urojo murua kwa mwezi wako.

Kwa upande wa kulia wanaume wamejiandaa kuharibu mahusiano yao kwa msimu huu wao wanapanga mikakati ya kulevya kwingine hawana mpango wa kuweka urojo wa sembe kwa wale walionao wanataka vitu vipya tena wanajiwekea urojo mubashara kwa watu wasio na umuhimu wao wanaona wake/wapenzi wao hawafai wanataka manyunyu ya madawa mapya hawajui kuwa huko wanapata sembe feki. Ndo mfundaji nawapa somo achene tabia hiyo ya kugawa urojo nje ya ndoa au mwenzi wako? kwanini usikae na huyo uliyenaye kwanini unawehuka huko nje macho waruwaru achene vitabia vya kiurojo vya sembe feki . hebu weka urojo wa sembe mubashara kwenye mahusiano yako wewe mkaka utaona mahusiano yako yanamea na kustawi

Acha kurukaruka kama njiwa baki njia kuu kuliko salama kwanini usiweke urojo wa sembe murua kwa mtu wako wa karibu uliyenaye sasa kulilko kujipepea nje ya mahusiano waona raha sana
Nawapa somo murua msifanye hivyo acheni kuweni waungwana wa wenzi wenu.

Wasalaamu

Ladyf
 
Duh! Hizi lugha za mjini ni hatari, binafsi nimeelewa machache sana humu. Hivi "mubashara" maana yake nini, na limeibukia wapi? Naliona ona sana lately.
 
Back
Top Bottom