JITU LA MIRABA MINNE
JF-Expert Member
- Mar 28, 2015
- 726
- 475
Tukiwa tumesimama stand mapema asubuh tukisubiri gari, hatua 5 Kutoka nilipo jamaa fulani alikuwa akiongea na simu. Kwa picha niliyoisoma ni kuwa jamaa alipata ushahidi kuwa kuna jamaa anamla mke wake mara nikasikia akimuahidi kuwa aachane na mke wake asipofanya hivyo kuna moto utamuwakia
Akamwambia kuwa atafanya kila njia amkamate na kumkata korodani moja tu na kiungo cha kiume apunguze juu tu pale palipopunguzwa jandoni kwan ndio kinamsumbua na huyo mwanamke amtoe meno ya mbele yote 6 juu na chini
Hebu pata picha adhabu za wote wawili watafananaje?au ni majuto gani watakua nayo....
Lakini je ni haki?
Wazee mke wa mtu sio wa kuwa naye karibu adhabu hazitabiriki mwingine anaweza hata kukuachia mgoni uende zako lakini utajiadhibu mwenyewe unayesema una maziwa endeleea kufuga ngombe