Swenailie
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 240
- 229
Aisee wanaume nani kawaroga? Nashangaa matukio ya kujinyonga kisa mapenzi wanaume wanaongoza, yani tangu niko chuoni nasikia mwanaume wa corse flani kajinyonga kisa mapenzi, nimekuja mtaani nasikia mwanaume kajinyonga kisa mapenzi tena mchepuko.
Nachojiuliza uanaume wenu uko wapi? Ujasiri wenu uko wapi? Yani sisi wanawake tunatendwa tunalia sana ila tunafuta machozi maisha yanaenedelea. Nyie hizo akili mnazipata wapi? Unasahau huyo mtu umekutana nae ukubwani kwamba imeshindikana kwake unaweza pata pengine.
Acheni ujinga mnaliza wazazi wenu mama yako kakulea hutambui kama anakupenda unajinyonga kwa ajili ya mtu mliyekutana nae. Muwe mnamuogopa na Mungu mnasahau Mungu anaweza kukupa mwingine wa maana zaidi ya huyo. Huo ujasiri wenu uko wapi? Nani kawaroga?
Simwonei huruma mwanaume aliekufa kwa kujinyonga na kamwe namhurumia mama yake ambae amembeba mtoto miezi tisa afu mtoto ameshindwa kuona thamani yake.
Aisee hebu badilikeni acheni ulaini kiasi hicho khaaa!