Wanaume tuache kuhonga, kwani raha tunapata sisi tu?

dume kaptura

Member
Feb 6, 2017
98
42
Kuna kitu kina nishangaza sana, inakuaje tutoe hela ili kupata penzi wakati inasemekana wanawake hupata raha zaidi wakati wa tendo kuliko sisi wanaume. Sitoi hela mimi bora nipaki kuwa dume kaptura tu
 
Sema bora ubaki mario. Kwani yale mashuti na magoli anafaidika peke yake? Dume suruali huna ujanja unafungwa tu na kuchekelea eti mwanamke ndio anafaidi zaidi aiseee.
 
Back
Top Bottom