mwanazuoni mgeni
JF-Expert Member
- Sep 11, 2016
- 1,944
- 1,715
Katika huu ulimwengu wa leo linapokuja swala la mapenzi hakuna mbabe wake, karibu kila mmoja katika historia yake ya kimapenzi ashapitia changamoto nyingi sana mpaka wengine wamefikia hatua ya kujiua baada ya wapenzi wao kuwageuka na kuwasaliti.
Binafsi mimi kwenye maisha nishakutana na changamoto nyingi na nimezikabili lakini linapokuja swala la mapenzi, simuamini mtu yoyote mpaka leo najiuliza kipimo cha mapenzi ya kweli ni nini.
Nawasilisha