MICSIMON
Member
- Jan 6, 2013
- 41
- 13
1. _Missed calls 16? Umeua betri la simu yangu. Kwa hiyo hata mimi unaweza kuniua..._ *It's Over!!!*
_
2. _Hata hunieshimu. Mi naongea na wewe lakini we upo bize unavuta pumzi?_ *It's over!*
_
3. _Nimekupigia umepokea simu hapohapo. Huna subira._ *It’s over!!*
_
4. _Nilikwambia huwa napenda chakula cha moto lakini hujanipashia ice cream. Hunijali._ *It's over!*
_
5. _Nimekupa mayai mawili, moja uchemshe jingine ukaange. We umekaanga ambalo ulitakiwa kuchemsha na umechemsha ulilotakiwa kukaanga. Huniheshimu,_*It’s over!*
_
6. _Nimekuita DARLING na wewe ukaniita HONEY. Yani kwa maana nyingine unamuita mama yangu NYUKI. Huheshimu wazazi wangu, fungasha kilicho chako._ *its over.*
Muache Demu wako kisomi