Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Jon ni mtoto wa pekee katika familia yao huyu ni kifupi cha Jonathan si Faru John, wazazi wake waliona wote wawili wakiwa 30+, baba alishafikisha 35 mama alikuwa bado kwenye 31, baba na mama Jon...
19 Reactions
51 Replies
6K Views
Wakuu wa baraza amani iwe nanyi. Leo nawauliza swali hawa dada zetu, kwanini mnapenda kufanya udukuzi? Wanatumia juhudi kubwa mno ili kupata kumjua mtu wanaokutana naye. Tuseme labda ni...
2 Reactions
27 Replies
3K Views
Enzi hizo aslimia 99 kishule shule mapenzi ni kwa maneno tu yule mchumba wangu mara huyu msichana wake na head boy sijui head girl kadimbua kiboy cha St. Francis . Ilimradi title tu yani hata...
6 Reactions
52 Replies
20K Views
MIMI NI MWANAUME MWENYE UMRI WA MIAKA 43,NINA NIA THABITI YA UKWELI KABISA NATAFUTA MKE WA KUOA!AWE MTU MZIMA KUANZIA MIAKA 40 NA KUENDELEA,KIGEZO KIKUBWA AWE MKWELI NA SIO MBABAISHAJI,HAWE MWENYE...
0 Reactions
29 Replies
9K Views
Asubuhi May 28 1995 Nikiwa namsaidia kaka kazi ya kuuza duka wakati huo huo nikijisomea kijarida maridhawa(nisichokikumbuka jina kwa sasa) ambacho maudhui yake yalilenga sana mambo ya mhausianio...
3 Reactions
35 Replies
3K Views
By Steph Arthur Research from Penn State found that women reported talking more about sex and sex-related topics with their best friend than men did. And they found that we're very, very...
4 Reactions
65 Replies
8K Views
Nimekaa na kufakari kidogo na kujiuliza, Tatizo liko wapi hasa linapofika swala la kuoa au kuolewa. Je ni kwamba wanaume hawataki kuoa au wanawake hawataki kuolewa. Wataalam karibuni.
1 Reactions
30 Replies
8K Views
Habari zenu , , Inakuwaje mtu anaamua kujitoa uhai ,Inakuwaje hapo anapatwa na msongo wa mawazo??,yaan ni anakuwa hana option nyingine anaona kujitoa uhai ni suluhisho,,au ni kuwa mkimya...
5 Reactions
58 Replies
8K Views
Jina la Bwana liinuliwe Nina rafiki yangu ambaye tulianza wote maisha, tulipanga geto moja, huku uswazi, tulikuwa tunaishi kama ndugu ila tulikutana tu mjini tumetoka mikoa tofauti yeye wa mwanza...
13 Reactions
109 Replies
12K Views
Mimi ninae mtaka Awe muwelewa Muislam Miaka 30/37 Awe ana uelewa wa Hali ya juu computer Awe ana swali Mtoto ikiwa anae sio tatizo Awe mstarabu Awe namapenzi ya Kweli Mimi nina miaka 38...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Tazama mungu alivyo mwema amewapa uzima hadi sasa! Toka nimekuwa katika mahusiano nimejifuza kuwa kupenda haitoshi kuwa na hisia kali na kuthamini unaempenda tu! Nimejifunza kwamba unapodenda...
5 Reactions
16 Replies
4K Views
Aliyesema ndoa ndo vita pekee ambayo maadui wanashea kila kitu hakukosea. Hivi nyie ambao ndoa zenu zina mhili mzuri na zinadumu huwa mnatumia mbinu gani mnisaidie na mimi mwenzenu!
0 Reactions
59 Replies
11K Views
Habari za wakati wenu wana MMU!! Ni ulimbukeni ama ujanja, unakuta mtu anagharimia kitu kimoja kwa ajili ya show off, mfano simu mtu anajikamua kufanikisha anakuwa na HTC ama iPhone 5s au kwa wale...
15 Reactions
151 Replies
16K Views
Kaiba Supermarket
2 Reactions
14 Replies
3K Views
NAULIZA,jamani,kwanini mimi kama muhaya,nitakapo kuwa na uhusiano wa mapenzi na mtanzania wa kabila tofauti na mimi,scrutiny kubwa dhidi yangu has to take place,kwani sisi male wa kihaya...
3 Reactions
399 Replies
101K Views
Swala la Kucheat katika mapenzi suala moja Mtambuka sana! Asilimia 90 ya watu waliopo kwenye mahusiano mmoja wao anacheat! So kugundua kuwa nani anacheat ni kitu kimoja kikubwa sana ambacho kila...
7 Reactions
160 Replies
22K Views
Natafuta mke, awe mwenye hofu ya Mungu, mimi ni Mkristo kwa hiyo akiwa Mkristo sio mbaya sana na awe mwenye maono ya Kimungu zaidi. Elimu yangu ni Shahada (Degree), ni mwalimu, nina miaka 31...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari wanajamvi, Mimi ni mdada mwenye miaka 26, elimu diploma ni mwajiriwa,nina mtoto, Natafuta mwenza anaejitambua na mwenye huitaji wa serious relationship; -Awe mkristo mwenye hofu ya Mungu...
4 Reactions
92 Replies
11K Views
Mimi ni mwanaume wa miaka 24, sijaoa, natafuta mpenzi niko Mbeya, awe na kazi yeyote ya kujikimu, awe mkristo wa dhehebu lolote, kabila lolote, umri wa chini yangu. Mungu akijaalia tuanzishe...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Being a parent is a full-time job you can never quit While many developed countries are seeing a decline in birth rates, in Tanzania, having children is not optional but a necessary part of...
3 Reactions
0 Replies
844 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…