Haya utayakuta kwenye movie za kihind uko1.Upendo wa dhati
2.Ukweli
3.Uwazi
4.Uaminifu
5.Uvumilivu
6.Msimamo thabiti
7.Mawasiliano
N.B:HEKIMA NA BUSARA ndio msingi wa hayo yote.
hakikisha upo vzr ktk hayo yote na safari yako ya mahusiano itakuwa salama.
Hakuna cha wahindi wala nini hapahapa yanafanyika ukiamuaHaya utayakuta kwenye movie za kihind uko
waswahili kudanganyana ni kwingi sana!Hakuna cha wahindi wala nini hapahapa yanafanyika ukiamua
Cjasema hawapo wapo ila ni wachache sana lkn pia hao bahat mbaya hukutana na vichecheWapo,sema haujakumbana nao.