Roho Mbaya
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 777
- 674
Nitakribani Miezi 3 hivi sasa tukiwa ndani ya ndoa na kabla ya hapo tulikuwa kwenye mahusiano takribani miaka mitatu iliyopita wakati tukiwa katika mahusiano nilikuwa nikijaribu kuchungualia ilimradi tu nione ikoje, nilijibiwa nisubirie hadi tutapokuwa ndani ya ndoa.
Kinachonisikitisha mpaka hivi sasa nina takribani miezi mitatu ndani ya ndoa lakini bado nanyimwa kama ilivyokuwa mwanzo, naombeni ushauri wenu maana nakosa amani na kupata hasira hasa pale anapokuwa ananizuia muda mwingine natumia hadi nguvu kuona mali yangu mwenyewe.