Wanaume waliotitia chini (wafupi) pita hivi

Wanaume waliotitia chini (wafupi) pita hivi

nyani jike

Senior Member
Joined
Feb 23, 2016
Posts
176
Reaction score
223
Hii nimeikuta sehemu kuwa mwanaume waliotitia chini yani (wafupi) au mbegu fupi hata awe na mambo kiasi gani kwa gubu lake lazima umshindwe. Yaani wana visa, wachoyo, umimi na ubabe sasa na kujidai wana wivu.

Ukizingua tu sehemu yoyote ugomvi wake utaomba poo, hawakubali kushindwa ila vinaperformance nzuri on the bed ila kama unaweza kumudu mikiki yao.

Angalizo: Huwa havisahau mambo haraka, usikikosee wala kukichuna ohooooo!

Mimi napita zangu hivi naenda kwenye chai ya tangawizi.
 
1465236661951.jpg
 
Eheee! Mtu mfupi wa kwanza tayari kashajitokeza..
 
Hiyo mitusi yenu wala hainitoboa kanyweni chai ya tangawizi thread za kuwasema wanawake wasio na makalio makubwa wapite hivii,wanakiwa wameumika ila hawajafa eeee?ukweli ndo huu wanaume wafupi,Mara wanawake wanamabaka Mara wanawake wanapapuchii sijui zikoje,Leo limewashuka hapa tutaenda saw a na huo ndo utafiti wangu nishauleta kwenu povu liwamwagike na nyie sasa
 
Back
Top Bottom