Harry singo
JF-Expert Member
- Apr 24, 2016
- 352
- 438
habari zenu wapendwa,
kwanza niseme am melancholic yaani nimekuwa naye for two years now, hakuna tatizo lolote kwangu, ila amekuwa akificha makucha ndio nayaona hivi sasa, ana kiburi, ana jeuri, ana dharau, alinipenda nikiwa navyo lakini sasa upendo umepoa, lakini kuna wakti upendo unaonekana ila basi tu hadi aone madem wengine wanashoboka. kila nikimwambia tuachane analia and it gives me the pains, hauwezi kuelewa lakini mimi binafsi inanifanya nireconsider na napotezea lakini muda ukipita ni yale yale, nimethibitisha kwamba tatizo haliko kwenye sex maana anaridhika lakini tumechokana na am payn for it, am young, ive given up alot for her, na ninafanya kila niwezalo as a gentleman lakini ndio hivyo, nje tunaonekana a nice good looking couple lakini ndani 70% we are unhappy(i am uhappy)na sijui nifanyeje nimuache bila kuumizana ukizingatia tuna mtoto, na ni mrembo anavutia, hata nikitaka mwanamke mwingine il go for her type (thats my type)
ila basi tu wanaume mnaweza mkaelewa kwamba una mwanamke mzuri lakini tabia za ndani mbovu, kichwani matope you have to teach her every thing, yaani ninaweza nikasema its an experience i never wana go through again.
we learn through mistakes, dont judge.
nifanye nini ili aelewe sipendi tabia yake au.
nimwambieje aniache kwa amani, kila mtu amoove on bila maumivu,
kama unafahamu comment yako itakuwa na matusi ipost kichwani kwako, kwanini ujiongezee dhambi.MATUSI HAYARUHUSIWI..
Thanks in advance..