Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,568
- 71,447
Kushakuwa na hili tatizo kwa hawa baadhi kaka zetu ,wamekuwa wambea mpaka sisi wanawake tunashangaa ,kiufupi wametuzidi wanawakee,mi nahisi ndio maana wanaume wengi wamekuwa mashoga nadhani kwa kupenda sana kufatilia na kuongea yasiyowahusu.
Au ni kutokuwa na kazi ya kujishugulisha ,au wamezaliwa hivyo ,au kukaa na madada muda mwingi nao wanakuwa wambea na washakunaku kama dada zao,,,
Unakuta wanaume /mwanaume anafatilia vitu ambavyo hata havimsaidii au kumuongezea kipato,,ndio maana sishangai kuona kina james wanaitwa central ,sasa itabidi Mh.awaite na wambea wote central nahisi kuna watu watakuwa wa kwanza aisee

Kiasili wanawake huwa tuna maneno sana hatushaangaani lakin inapotokea jinsia ya kiume lazima tushangaee,,badilikeni jamanii fanyeni yanayowahusu ya wengine hayawasaidii mnapoteza muda ,,,
Au ni wivu na husda ya kutamani ambacho huna,majirani wana kazi kubwa sana kuishi na watu wa aina hii. Unakuta mwanaume anamuonea wivu mwanamke kisa anatoka na flani sasa jamani unataka uliwe wewe
si ndio huyu mwanaume akitaka tigo yako wala hukataii ,mwishowe mpate na magonjwa ya moyo buree
Naomba tutaje wanaume wa jf waliowambea first class yaan yeye hapitwiii na chochotee ,muda wote anawaza fulani kawajee,,halalii anawaza tu na tuwape ushauri mzurii wabadilikee