Troll JF
JF-Expert Member
- Feb 6, 2015
- 7,804
- 12,233
Sijawahi Kutumia Marijuana/Cannabis/Weed/Ganja/Bangi/ But nimesikia rumors kuwa Ukinyoga unakua Vizuri sana kwenye Sita kwa Sits
Siitangazi but waliowahi kuonja mtupe Ukweli wa hii kitu.
Je hufanya kazi kama Pombe (in case kama hujawahi kutumia pombe yenyewe inapoteza Sexual concentration) hivyo inasababisha mtu kutokojoa Mapema.
So Bangi yenyewe Ina Kipi za Ziada?
ONLY FOR LEARNING PURPOSE.