STUNTER
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 13,075
- 17,237
Eti na wewe unajiita Mwanaume, Mwanaume
kumnunulia Zawadi Girlfriend wako ni mpaka uone
Valentine's Day imekaribia,ndio unajishobokesha na
Shopping ili kusafisha nyota..
Nani aliyekwambia Usela unalipa kwenye Mapenzi?? Unahisi
ukimnunulia Zawadi na kumuonyesha unampenda utaonekana Bwege, Kuna kosa gani kuwa bwege kwa mtu unayempenda??Hata wanafiki wakisema
umeshikwa waambie NDIO NIMESHIKWA NIMESHIKAMANA!
Make your Woman Smile...Wala huna haja ya kutumia
fedha nyingi kwenye Shopping za Mariedo..Ukiona kitu kizuri Karume NUNUA Mpelekee..Ukiona Gauni zuri Posta NUNUA mpelekee..Hamna kitu kizuri
Wadada wanapenda kama ZAWADI, hata kama
umenunua JERO mtumbani, ile Feeling kwamba
Ulipokiona ULIMKUMBUKA YEYE inampa impression
kwamba She is On your Mind na hilo ndo wadada wanataka....
Suprise her pale asipotarajia...Mpigie
Simu aje, akifika una Parcel ya Saa nzuri..Utapendwa
hadi ushangae... Hawa watu wanaitwa ma-PLAYER
hakuna Miujiza yoyote wanayofanya kumuiba
demu wako zaidi ya hii,Wanajua Wanawake
wanapenda nini na wanawapa hicho.
Wewe jifanye Msela halafu Ma-PLAYER wakufundishe Caring ni
nini. Usione Couple zinadumu ukajua jamaa
anatumia heeelaaaa, walaaa..Mijisapraiz tu, demu anajiona Malkia masaa 24.
Sio kila Limbwata imetengenezwa na Mganga wa
Kienyeji, Ukitumia Akili tu sometimes ni Limbwata tosha.
Kwa Hisani ya Wanaume wote Tulio Dimbwini