Zekidon
JF-Expert Member
- May 29, 2013
- 1,903
- 568
Huyu binti bwana ni mzuri sana!
Huwa tunakutana every weekend kwenye social activity flani hivi!
Huwa anapenda kukaa few metres from me! Yaani ni lazima, siku nyingine ikatokea tukakaa karibu kabisa! Siku hiyo nakumbuka kumuona mama yake akitabasamu baada ya kutuona tukiwa very close!
Huwa ikifika siku hiyo sipendi kuikosa maana najua kuwa nitamkuta! Huwa nisipomuona moyo unapata huzuni kidogo!
Kwakweli huwa hatuachagi kutazamana! Lazima tutazamane! Halafu ubaya ni kwamba! Anaonekana ni mkimya sana! Mimi pia ni mkimya sana tu!
Nahisi kama vile natakiwa kufanya jambo! Lakini tatizo ni moja kubwa sana!
Baba yake ni mtu mzito kidogo! Na huwa hakai mbali naye! Natafuta namna ya kubreak this silence na hii torture!
Nitumie mbinu gani kuanzisha mazungumzo naye! Kwa maana tunaangaliana tu hakuna anayetaka kumfuata mwenzake! Mzee naye anakaba haswa!