10 Rules For A Long And Happy Marriage.

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,720
215,773


16865013_1266853520062978_274546254232541992_n.jpg

















 
Haya mambo mi naona yapo tu kwenye maandishi lakini ki halisia hakuna, maana watu wapo ki maslahi zaidi, mahusiano yametekwa na pesa , na ukiwa na pesa basi yaani kila aina ya furaha na upendo utapata tu
 
Shukurani kwa somo

Ila namba moja ni ngumu. .hasira kama ninazo sasa hivi na mume wangu anazo sasa hivi siwezi kujisemea nitakasirika badae
 
Shukurani kwa somo

Ila namba moja ni ngumu. .hasira kama ninazo sasa hivi na mume wangu anazo sasa hivi siwezi kujisemea nitakasirika badae
Kumbuka "when you go low you go high" (Michelle Obama).
 
Hiyo namba 4 kwangu hapana kwakweli.

Labda kama tuna bishana kuhusu rangi ya mapazia ambayo tutapamba ndani sikuku ya x-mass.

Hapo kweli you are likely to win the argument.
Basi yeye atakuachia ushinde
 
Kuna argument za kumwachie mwanamke ashinde ambavyo ni some how insignificant kwa mwanaume.

Lakini kwangu mimi hata jina tu la mtoto siwezi kumwachia.
Jina la mtoto mara nyingi linatoka kwa mwanaume so it's normal kutokumuachia
 
Back
Top Bottom