simplehamis
Member
- Feb 20, 2017
- 28
- 27
1. Awe mtu wa kumcha Mungu.
2. Awe mjuzi wa kupika na awe anajifunza mapishi mapya haraka.
3. Awe na mahusiano mazuri yaliyoshibana na mama yako.
4. Apate karibu asilimia 70 za kukubalika kutoka kwa Familia na marafiki, Kama asilimia 90 ya marafiki zako hawamkubali mpenzi wako, usiwadharau...wanaona ambacho wewe hukioni.
5. Awe sio mtu wa kula kidogo, japo hata mara mbili kwa siku, Sio mwanamke anayekula kila anachokiona.
6. Anayekushirikisha juu ya mawazo na hofu yake. na Uwepo wake ukupa furaha moyoni mwako na tabasamu lake ukupa tumaini.
7. Pia awe amefuzu "zoezi la Hasira". Zoezi la hasira hutumika kumpima mpenzi wako kama ana roho ya kusamehe,pia kama anaweza kuzuia mihemuko yake na sio kufanya vitu vya ajabu.
Wajulishe marafiki zake na wa kwako juu ya kile unachotaka kumfanyia...Mtukane au muumiza kiasi kitakachomfanya amwage machozi, kama atakusamehe na kutaka amani...basi atakuwa amefuzu.
8. Ambaye haoni aibu wala woga kukutambulisha kwa marafiki zake na familia yake kama mpenzi wake.
TAHADHALI: SIO WANAWAKE WOTE WA KUWAFANYIA ZOEZI LA HASIRA
BY SIMPLE H