Nampenda sana mpenzi wangu ila michezo yake inanipa wasiwasi..

mzibua chemba

JF-Expert Member
Jul 18, 2016
476
412
FB_IMG_1487007118932.jpg
Kupenda ni ugonjwa na usiombe kupenda adi kuubwaga moyo na uliempata ukawa na malengo nae ya kuishi nae kama mke na kujenga familia kiukweli kwa mwanamke unaempenda na una malengo nae kuna michezo huwezi kucheza nae huwa kwa baadhi ya wanaume huwafanya hii michezo mwanamke ambaye huna feature nae kwa mwanamke unaempenda kiukweli huwezi kusodoma nae ila huyu mwanamke nampenda na kiukweli kaumbika ila ananitatiza na kunipa waswas tuwapo faragha kwa style zake tuu inakaa kuna kitu ananitega na anataka kunipa najiuliza nifanyeje? Maana anadai kuna kitu simtendei haki maana kila anapojaribu kunitega najikataa kaniahidi kesho kuna kitu anataka kunipa maana ni siku special kwake Valentine's day.. Kiukwel nampenda sana na natamani awe mke wangu wa kufa na kuzikana sitaki kumfanyia huo mchezo kiukweli napata waswas je nisipomtekelezea si atanisaliti? Nimfanyeje huyu kiumbe?
 
View attachment 470244Kupenda ni ugonjwa na usiombe kupenda adi kuubwaga moyo na uliempata ukawa na malengo nae ya kuishi nae kama mke na kujenga familia kiukweli kwa mwanamke unaempenda na una malengo nae kuna michezo huwezi kucheza nae huwa kwa baadhi ya wanaume huwafanya hii michezo mwanamke ambaye huna feature nae kwa mwanamke unaempenda kiukweli huwezi kusodoma nae ila huyu mwanamke nampenda na kiukweli kaumbika ila ananitatiza na kunipa waswas tuwapo faragha kwa style zake tuu inakaa kuna kitu ananitega na anataka kunipa najiuliza nifanyeje? Maana anadai kuna kitu simtendei haki maana kila anapojaribu kunitega najikataa kaniahidi kesho kuna kitu anataka kunipa maana ni siku special kwake Valentine's day.. Kiukwel nampenda sana na natamani awe mke wangu wa kufa na kuzikana sitaki kumfanyia huo mchezo kiukweli napata waswas je nisipomtekelezea si atanisaliti? Nimfanyeje huyu kiumbe?
kabla hujatekeleza azma yake ..Kumbuka wakati ule wa Sodoma na Gomora
 
utamkwepa mpaka lini?? na hata ukisema uendelee kumkwepa ukija kuishi nae huyo atakupa shida maana utaendelea na msimamo wako mwisho wa siku atatendewa hiyo anayoiita haki na wengine nje ya ndoa, ondoa malengo yako kwake anza kujizoeaza taratibu maana kuacha unapopenda inahitaji utayari wa nafsi. ila kumbuka hiyo dhambi haisameheki
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom